“Wanangu wapendwa! Salini na mfahamu ya kwamba pasipo Mungu ninyi ni mavumbi. Kwa hiyo geuzeni fikira zenu na mioyo yenu kwa Mungu na kwa sala. Tegemeeni upendo Wake. Katika Roho ya Mungu ninyi nyote mnaalikwa kuwa mashahidi. Ninyi mna thamani mbele ya Mungu, nami nawaalika, wanangu, kuwa watakatifu, ili mweze kupata uzima wa milele. Kwa hiyo mfahamu ya kwamba maisha haya hupita. Nawapendeni na kuwaalika kwa maisha mapya ya kutubu. Asanteni kwa kuitikia mwaliko wangu. ”
To compare Medjugorje messages with another language versions choose
“Bless and seek the wisdom of the Holy Spirit to lead you at this time so that you may comprehend and live in the grace of this time. Convert, little children, and kneel in the silence of your hearts. Put God in the center of your being so that, in that way, you can witness in joy the beauty that God continually gives in your life.”