Search this website | ||||
Viesti, 25.helmikuu 2023Other languages: English, العربية, Беларуская, Čeština, Deutsch, Español, Français, Hrvatski, Italiano, Kiswahili, Magyar, Nederlands, Polski, Português, Русский, Slovenčina, Slovenščina, Suomi, Tiếng Việt, Українська
"Wanangu wapendwa! Ombeni pamoja nami kwa ajili ya amani maana shetani anataka vita na chuki katika mioyo na mataifa. Kwa hiyo salini na, katika siku zenu, toeni sadaka kwa kufunga na kutubu ili Mungu awape amani. Wakati ujao uko kwenye njia panda kwa sababu mwanadamu wa kisasa hataki Mungu. Kwa hiyo ubinadamu unaelekea kwenye upotevu. Ninyi, wanangu, ni tumaini langu. Ombeni pamoja nami kwamba niliyoyaanza Fatima na hapa yatimie. Ombeni na mshuhudie amani katika mazingira yenu na muwe watu wa amani. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. " To compare Medjugorje messages with another language versions choose | | |||
Our Lady of Medjugorje Messages Messages of year Find messages Enter words or phrase Random Messages "Therefore, dear children, pray that from your heart would flow a fountain of love to every person both to the one who hates you and to the one who despises you. That way you will be able through Jesus' love to overcome all the misery in this world of sorrows, which is without hope for those who do not know Jesus." ( From message, 25 marraskuu 1991 ) | Medjugorje Live Current time in Medjugorje (CET): Deep concern & disturbing information: Caritas of Birmingham & 'A Friend of Medjugorje' Terry Colafrancesco, Alabama EXPOSED Updated: 2 kesäkuu 2013
Latest news & articles 15 huhtikuu 2017 24 syyskuu 2016 5 huhtikuu 2016 2 lokakuu 2015 Latest videos 11 kesäkuu 2018 10 toukokuu 2018 13 huhtikuu 2018 31 maaliskuu 2018 16 maaliskuu 2018 Most read articles Most watched videos Most watched Medjugorje Photos Gallery albums Favorite content related to Medjugorje" | |||
Our Lady of Medjugorje Messages Medjugorje Videos Medjugorje News & Articles Medjugorje Web Sites Links Picture & Photo Galleries The Polls | Copyright © 2005-2024 Medjugorje WebSite medjugorje.ws medjugorie.ws medugorje.ws ourlady.eu and content contributors | |||